Anayefahamu topics za Pure Mathematics, Kidato cha Sita


You are done bro, MISONGE mitatu hahaa
 
Mkuu umenikumbusha huo msemo wa kutoa ozone,..Kwa shule zetu Kwa sayansi bila kutoboa ozone kuna uwezekano NECTA ikakufanya vibaya sana.

Pia waweza kutoboa ukatoka KAPA
 

Unanikumbusha kitabu changu cha chemistry kinaitwa Raymond Chand aisee kuna inorganic chemistry iliyoshiba mle.
Mkuu inorganic chemistry kwa mtu wa PCM ndo ilikuwa topic ya kuponea hii make ina calculations zakufa mtu na nyepesi sana!! to be precise hii ndo topic pekee iliniokoa mimi
 
c wa PCM tulikuwaa tunaifukuzia telecomms engineering ya udsm tuu....basi 2011 pale usagaraa lilaa mtuu anataka telecomms.....hahaha tukapataa wawili tuuu
 
Mnataka kuwambia madogo wakifika waanze na D-equation, si watakimbia shule!

Mkuu huwezi kuanza na differenntial equation bila kupitia calculus! kila kitu kina basics. Hata calculus huwezi kuimdu bila kupitia trigonometric etc
 
Phyzsics sio ngumu.,kama ukiibana KISAWASAWA

Kijana jiandae kisaikolojia kama ndo unaingia Advance Kwa PCM physics ya huko sip kama ya O'level. Nakumbuka necta Yangu ya form four kwenye pepa la physics sikuona swali la kukosa,nauhakika 100% nilifumua mia!! teh teh teh niliwatengenezea marking scheme iliyoshiba swaaafi kabisa.
 
Huh, kitabu gani bro yamo hayo?

Sijawahi Kuona kwenye kitabu mana mim sikusoma na swali lake halikutoka kwenye paper mwaka huu ila mwaka jana nasikia lilikuwepo....
 
Probability mpaka nilikua nahisi ina majin kila nikisoma naielewa nikifunika tu kitab kushnei
 
Mkuu huwezi kuanza na differenntial equation bila kupitia calculus! kila kitu kina basics. Hata calculus huwezi kuimdu bila kupitia trigonometric etc

Aa, nyie si mmesema hakuna cha 5 wala 6 ni kuswaga tu
 
Ugumu wa kitu ni kutokana na wewe unakichukuliaje, inshort mimi nimeshapita hukog, na phys ndio somo rahisi kupata kuona kulinganisha na yale mengine, japo na yenyewe si magumu.
 
Sijawahi Kuona kwenye kitabu mana mim sikusoma na swali lake halikutoka kwenye paper mwaka huu ila mwaka jana nasikia lilikuwepo....

Sasa kusolve hio makitu unatumia calculator au computer?
 
Kusoma kuna kazi sana eti, wenye moyo wacha waendelee
 
tuliosoma BAM tunapita kimyakimya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…