Mkuu nmekuelewa sana, hii ni kazi inayohitaji maarifa, labda nishauri uweze kushare ulichonacho kumsaidia jamaa na wengine. Kwa upande wangu nilianzia kusoma foundation course ya Google garage ni course ya bure inatolewa na Google inatumia masaa 40 kuna maswali na assignment, mwisho unafanya mtihani kuweza kupata certificate.
Baadae nikasoma course zingine Udemy na Coursera kuspecialize kwenye Search Engine Marketing, SEO, keyword reseach na Google Analytics. Provided nilikua na background ya research and grant proposals writing ikawa rahisi kwangu kufanya hii kitu.
Hizi course baadhi ni free nyingine unaomba scholarship na unapata kuweza kuzisoma, pia unaweza kuongezea course zingine kama Graphic design kwa kutumia Canva, adobe photoshop, video editing and subtitle.
Ukiwa na nia utafika unapopataka.
Reference materials
Platforms za kufanyia freelancing
www.Upwork.com
www.freelancing.com
www.fever.com
Hizi 3 ndio biggest kwa sasa, zipo nyingine nyingi kazi kwako.
Alunta continua