Niaandika vyoteUnaandika kwa lugha gani ?
Na je unatumia mtindo ( flow ) gani wa uandishi: Narrative, conversation, news....
Je, unajua SEO ?
Na Je, una tools zozote za kukusaidia kwenye uandishi kama Copyscape, grammarly, etc
Na, Je how do you come up with an idea za kuandika: Una keyword research tools, unaandika tu kulingana na mahitaji ya mteja au unaandika tu kilichopo kichwani ?
KwakweliNdugu GLOBAL CITIZEN msaada wa mawazo unahitajika hapa.
Tupe elimu mkuuUnaandika kwa lugha gani ?
Na je unatumia mtindo ( flow ) gani wa uandishi: Narrative, conversation, news....
Je, unajua SEO ?
Na Je, una tools zozote za kukusaidia kwenye uandishi kama Copyscape, grammarly, etc
Na, Je how do you come up with an idea za kuandika: Una keyword research tools, unaandika tu kulingana na mahitaji ya mteja au unaandika tu kilichopo kichwani ?
Ushauri utatokana na majibu ya hayo maswali ya faster hapo juuTupe elimu mkuu
Unaandika kwa lugha gani ?
Na je unatumia mtindo ( flow ) gani wa uandishi: Narrative, conversation, news....
Je, unajua SEO ?
Na Je, una tools zozote za kukusaidia kwenye uandishi kama Copyscape, grammarly, etc
Na, Je how do you come up with an idea za kuandika: Una keyword research tools, unaandika tu kulingana na mahitaji ya mteja au unaandika tu kilichopo kichwani ?
Mkuu hakuna pesa kitonga mkuu.Kibongo bongo tunasema umemkatisha mwamba tamaa [emoji23][emoji23].
Mkuu hakuna pesa kitonga mkuu.
Kuandika ni moja ya kazi inayolipa sana, ila siyo rahisi kama huna hobby ya kukaa kwenye Computer muda mrefu.
Na "contents" ambazo ni easily marketable kwasasa ni za kiingereza, sasa sisi na "Mzarendo" wetu Magu hatupendi lugha ya mabeberu.
Mkuu nmekuelewa sana, hii ni kazi inayohitaji maarifa, labda nishauri uweze kushare ulichonacho kumsaidia jamaa na wengine. Kwa upande wangu nilianzia kusoma foundation course ya Google garage ni course ya bure inatolewa na Google inatumia masaa 40 kuna maswali na assignment, mwisho unafanya mtihani kuweza kupata certificate.Unaandika kwa lugha gani ?
Na je unatumia mtindo ( flow ) gani wa uandishi: Narrative, conversation, news....
Je, unajua SEO ?
Na Je, una tools zozote za kukusaidia kwenye uandishi kama Copyscape, grammarly, etc
Na, Je how do you come up with an idea za kuandika: Una keyword research tools, unaandika tu kulingana na mahitaji ya mteja au unaandika tu kilichopo kichwani ?
Safi sana mkuuMkuu nmekuelewa sana, hii ni kazi inayohitaji maarifa, labda nishauri uweze kushare ulichonacho kumsaidia jamaa na wengine. Kwa upande wangu nilianzia kusoma foundation course ya Google garage ni course ya bure inatolewa na Google inatumia masaa 40 kuna maswali na assignment, mwisho unafanya mtihani kuweza kupata certificate.
Baadae nikasoma course zingine Udemy na Coursera kuspecialize kwenye Search Engine Marketing, SEO, keyword reseach na Google Analytics. Provided nilikua na background ya research and grant proposals writing ikawa rahisi kwangu kufanya hii kitu.
Hizi course baadhi ni free nyingine unaomba scholarship na unapata kuweza kuzisoma, pia unaweza kuongezea course zingine kama Graphic design kwa kutumia Canva, adobe photoshop, video editing and subtitle.
Ukiwa na nia utafika unapopataka.
Reference materials
Platforms za kufanyia freelancing
www.Upwork.com
www.freelancing.com
www.fever.com
Hizi 3 ndio biggest kwa sasa, zipo nyingine nyingi kazi kwako.
Alunta continua
SafMkuu nmekuelewa sana, hii ni kazi inayohitaji maarifa, labda nishauri uweze kushare ulichonacho kumsaidia jamaa na wengine. Kwa upande wangu nilianzia kusoma foundation course ya Google garage ni course ya bure inatolewa na Google inatumia masaa 40 kuna maswali na assignment, mwisho unafanya mtihani kuweza kupata certificate.