Anayefuatia ni Kinana, uteuzi wa Ridhiwani ni kama kupooza moto kidogo

Anayefuatia ni Kinana, uteuzi wa Ridhiwani ni kama kupooza moto kidogo

Joined
Feb 18, 2019
Posts
53
Reaction score
539
Bada ya kuwaondoa January na Nape kwenye baraza lake la mawaziri, Rais Samia anaweza kufanya mabadiliko zaidi katika serikali na chama tawala kabla ya uchaguzi ujao. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana anaweza kuwa mtu wa juu anayefuata kukihama chama tawala.

Kinana, January na Nape wanaonekana kuwa washirika wa karibu wa aliyekuwa Rais Jakaya Kikwete. Kupandishwa cheo kwa Ridhiwani Kikwete katika nafasi kamili ya baraza la mawaziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu kunaweza kuwa na nia ya kupunguza hofu ya kuondolewa kwa washirika wa Rais Kikwete katika serikali ya Samia.
20240722_143017.jpg

®Tanzania Business Insight.
 
Aiseee sipendi siasa kama nini yaani... Wizi tu kulima aaaaaaah
Aisee!Kuwa mwanasiasa ni kama kuamua kwa hiyari kutembea ukiwa umevaa "suti ya kuogea" na saa mkononi tu,saa sita mchana katikati ya soko la kijiji. Usione soo kuchambuliwa kama machuya kwenye mchele.
 
Afande Kinana ahame chama kwasababu gani naye ni mwenyekiti msaidizi?🤔
 
Stuka!
Hakuna kilichobadilika kila kitu kipo kama kilivyo hakuna aliytenguliwa ni jaribio sahihi la kuwaadaa Watanganyika wasahau kwa jinsi gani wanaporwa mali zao na kazi zao.
ili wabaki kwenye hili kisha tuwapole haki yao tusije kutengeneza vurugu kuliko Kenya kwa kudai haki zao.
 
Back
Top Bottom