House4Sale Anayehitaji chumba na sebule tabata segerea.

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
6,682
Reaction score
11,461
Kwa yeyote anayehitaji sebule na chumba self maeneo ya tabata segerea just inbox me...
Kodi ni 100,000/= unalipa miezi sita..
No dalali nakupeleka kwa mwenye nyumba mkamalizane...
Patakua wazi from tarehe 1/4.
 
na uzoefu wako humu hujui tangazo lililokamiilika linapaswa kuwaje?
 
Kwa yeyote anayehitaji sebule na chumba self maeneo ya tabata segerea just inbox me...
Kodi ni 100,000/= unalipa miezi sita..
No dalali nakupeleka kwa mwenye nyumba mkamalizane...
Patakua wazi from tarehe 1/4.
House 4sale [emoji15] unalipa laki laki hadi miezi sita umesha inunua...ndivyo nilivyo elewa, weka picha bro [emoji4]
 
Kwa hiyo wewe mwenyewe ni dalali !!
 
House 4sale [emoji15] unalipa laki laki hadi miezi sita umesha inunua...ndivyo nilivyo elewa, weka picha bro [emoji4]
Nilitaka kuweka for rent naona mkono ukatelezea kwenye for sale
 
Back
Top Bottom