Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
na uzoefu wako humu hujui tangazo lililokamiilika linapaswa kuwaje?Kwa yeyote anayehitaji sebule na chumba self maeneo ya tabata segerea just inbox me...
Kodi ni 100,000/= unalipa miezi sita..
No dalali nakupeleka kwa mwenye nyumba mkamalizane...
Patakua wazi from tarehe 1/4.
Picha Mzee babana uzoefu wako humu hujui tangazo lililokamiilika linapaswa kuwaje?
si ndo hapo sasaPicha Mzee baba
House 4sale [emoji15] unalipa laki laki hadi miezi sita umesha inunua...ndivyo nilivyo elewa, weka picha bro [emoji4]Kwa yeyote anayehitaji sebule na chumba self maeneo ya tabata segerea just inbox me...
Kodi ni 100,000/= unalipa miezi sita..
No dalali nakupeleka kwa mwenye nyumba mkamalizane...
Patakua wazi from tarehe 1/4.
Kwa hiyo wewe mwenyewe ni dalali !!Kwa yeyote anayehitaji sebule na chumba self maeneo ya tabata segerea just inbox me...
Kodi ni 100,000/= unalipa miezi sita..
No dalali nakupeleka kwa mwenye nyumba mkamalizane...
Patakua wazi from tarehe 1/4.
Siwezi kuwa dalali kamwe... I just do for love..Kwa hiyo wewe mwenyewe ni dalali !!
Mzee baba picha siweki maana kuna vitu vya watu ndani...na uzoefu wako humu hujui tangazo lililokamiilika linapaswa kuwaje?
Nilitaka kuweka for rent naona mkono ukatelezea kwenye for saleHouse 4sale [emoji15] unalipa laki laki hadi miezi sita umesha inunua...ndivyo nilivyo elewa, weka picha bro [emoji4]
Kama unahitaji njoo angalia...Picha
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Nilitaka kuweka for rent naona mkono ukatelezea kwenye for sale