Anayehitaji mwalimu wa Chemistry au Biology kwa Kidato cha 5 na 6

Mwamundela

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
49
Reaction score
71
Habari wadau,

Mimi ni mwalimu kwa taaluma, nimesoma bachelor of science with education (Chemistry &Biology) nimehitimu mwaka 2017.

Niko kitunda ilala Dar-es-Salaam. Nahitaji kama kuna MTU anashida ya kusoma chemistry au biology hasa advance (japo o-level pia mnakaribishwa) naomba tuwasiliane, then tukubaliane muda na gharama za kufundisha.

Nilikuwa mwanza nikifundisha shule ya serikali kwa kujitolea na kupewa posho kiasi. Nimeamua kujitegemea kupitia elimu yangu baada ya kuona muda unaenda na serikalini posho ni kidogo sana na muda mwingi nautumia huko.

Hivyo nimeamua nifundishe tuition nikipata hata 20 ni afadhali itakuwa kwa muda mfupi na muda mwingine ntafanya mambo mengine. Hivyo kama kuna MTU anaitaji ani PM tuwasiliane.

Ahsante
 
mkuu upo dsm, kuna jamaa alikua anahitaj mwalimu wa kureplace tuition centre masomo kama yako, ila mda wa kaz ni sac2 -9, hebu niwasiliane nae kama alishampata, ila mshahara 18000
 
mkuu upo dsm, kuna jamaa alikua anahitaj mwalimu wa kureplace tuition centre masomo kama yako, ila mda wa kaz ni sac2 -9, hebu niwasiliane nae kama alishampata, ila mshahara 18000
Ahsante mkuu, nashukuru kwa kujali, kama anaitaji bado utaniunganisha nae ,ntawasiliana nae kujua mstakabali mzima.. Naamini katika mazungumzo kuna kitu tutafikia muafaka.

Ahsante
 
mkuu upo dsm, kuna jamaa alikua anahitaj mwalimu wa kureplace tuition centre masomo kama yako, ila mda wa kaz ni sac2 -9, hebu niwasiliane nae kama alishampata, ila mshahara 18000
Pia Economics, Bookkeeping na Commerce nipo hapa tushtuane
 
Naomba mawasiliano yako mkuu PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…