Anayehitaji Proffessional chef

Babaanyi

Senior Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
114
Reaction score
43
Guys mambo vip? Anayehitaji chef wa kimataifa mwenye uzoefu usopungua miaka kumia katika indian cuisine, french, italian na chinese kidogo na mbunifu mwenye managerial skills na English speaker, tafadhali ani pm.
 
Kila la kheri. Japo watakuminja kwenye mshahara manake wewe sio mhindi.
 
Ndo hivyo si unajua kibongobongo kingasti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…