Nipo free kwa kipindi chwa wiki sita tu,hivyo napenda kutumia kipindi hiki kufundisha vijana wanaohitaji kufundishwa physics na mathemaics(ni kwa advance tu)
lakini mwanafunzi huyo awe anaishi au anaweza kupatikana maeneo ya Mbagala, Mtoni mtongani, Changombe, Kijichi na maeneo ya Keko.
Zaidi ya hapo sitaweza labda tukubaliane na kulipiana bodaboda kila nikija na ninaporudi
Mawasiliano-0769454999