Anayeielewa ACT Wazalendo naomba anielezee

Anayeielewa ACT Wazalendo naomba anielezee

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,042
Reaction score
3,674
Hiki chama hakieleweki kinataka nini na kinapigania nini.

Kimekaa kiunjanja unjanja tu.

Kimekaa kitabaka (Udini).

Mikutano yake imekaa kijanja janja tu.

Zitto kiongozi wao mwandamizi haeleweki anapigania nini.

Chama hakina sera kabisa.

Eti hiki chama nacho kinataka madaraka ya kuongoza nchi yetu? [emoji2960]

Nani anakielewa hiki chama anielezee. Sikuelewi kabisa.
20230123_142109.jpg
 
Back
Top Bottom