A Annunaki JF-Expert Member Joined Dec 30, 2021 Posts 2,042 Reaction score 3,674 Jan 23, 2023 #1 Hiki chama hakieleweki kinataka nini na kinapigania nini. Kimekaa kiunjanja unjanja tu. Kimekaa kitabaka (Udini). Mikutano yake imekaa kijanja janja tu. Zitto kiongozi wao mwandamizi haeleweki anapigania nini. Chama hakina sera kabisa. Eti hiki chama nacho kinataka madaraka ya kuongoza nchi yetu? [emoji2960] Nani anakielewa hiki chama anielezee. Sikuelewi kabisa.
Hiki chama hakieleweki kinataka nini na kinapigania nini. Kimekaa kiunjanja unjanja tu. Kimekaa kitabaka (Udini). Mikutano yake imekaa kijanja janja tu. Zitto kiongozi wao mwandamizi haeleweki anapigania nini. Chama hakina sera kabisa. Eti hiki chama nacho kinataka madaraka ya kuongoza nchi yetu? [emoji2960] Nani anakielewa hiki chama anielezee. Sikuelewi kabisa.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Jan 23, 2023 #2 Vyama vya CCM hivyo
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Jan 23, 2023 #3 Wewe mwenyewe umekaa kiujanja ujanja, hujaweza hata kusoma ratiba?
A Annunaki JF-Expert Member Joined Dec 30, 2021 Posts 2,042 Reaction score 3,674 Jan 23, 2023 Thread starter #4 mugah di matheo said: Wewe mwenyewe umekaa kiujanja ujanja, hujaweza hata kusoma ratiba? Click to expand... Mikutano ya kanda moja
mugah di matheo said: Wewe mwenyewe umekaa kiujanja ujanja, hujaweza hata kusoma ratiba? Click to expand... Mikutano ya kanda moja
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Jan 23, 2023 #5 Matawi ya chamadola