MoneyMaker
Member
- Jul 1, 2012
- 18
- 6
Kwa hiyo jamaa aliekupigia simu hakukuambia ofisi zinapatikana wapi? yaani hata code number ya simu iliyotumika hukuifahamu, Tangazo la kazi nalo halikuandika? wabongo tuache uvivu wa ku google, haya link hiyo http://www.ilo.org/public/english/employment/ent/coop/africa/download/coasco.pdf
Asante Mkuu kwa ushirikiano wako.MoneyMaker kama wewe ni professional basi unajua thamani yako ni ipi, mimi nikienda kwenye usaili wowote ule nitasema nipeni kiasi fulani zaidi ya hapo sikubaliani na hiyo ajira yao, wewe kwa sasa labda uulizie life ya Dodoma ikoje, namaanisha msosi, nyumba, matibabu na starehe garama zake kwa hapo mkoani zikoje, ndio utakuwa na wakati mzuri wa kuomba kiasi fulani cha mshahara.
Sina detail zaidi ya hizo mkuu
kaka coasco ni shirikisho la ukaguzi la vyama vya ushirika,kazi yao ni kukagua vyama vya ushirika,sina uhakika na malipo yao ila kuna maslahi mazuri,nishafanya nao kazi walikuja kukagua vyama vyetu,mie ni afisa ushirika.
naona wameita watu 417 kwa nafasi 11 is it fair kweli? jamaa bwana wanakatisha tamaa kinoma, anyaway nendeni mkajaribu
wakuu wametoa wapi hayo majina naomba kujuzwa jamani mm ni momoja ya watu waliomba au waliwapigia simu
kama una C.P.A kijana utalipwa take home kuanzia 1.5m,kama hauna take home inarange kati ya 800k hadi 1.2m,kila la kheri mkuu,hawa jamaa wana mipango mizuri hasa kama una C.P.A,nasikia wameingia mkataba na internatinal Organization fln i guess UN watakuwa wanawakagua hivyo watakaobahatika watasafiri sana nje ya nchi kupiga mzigo wa ukaguzi

duh hata mie nimeitwa, lkn mambo haya ni kama ya udom, watu 400 af wanataka 11 , rushwa lazma itembee
hawana tofautii na nssf watu 5000 wameitwa interview wamechukua 70 wanaowajua wao wote shenzi zao
wameajiri watu hawana hata vyeti kisa ni ndugu na dg au dhra.
kama una C.P.A kijana utalipwa take home kuanzia 1.5m,kama hauna take home inarange kati ya 800k hadi 1.2m,kila la kheri mkuu,hawa jamaa wana mipango mizuri hasa kama una C.P.A,nasikia wameingia mkataba na internatinal Organization fln i guess UN watakuwa wanawakagua hivyo watakaobahatika watasafiri sana nje ya nchi kupiga mzigo wa ukaguzi
Usijichanganye National Audit na COASCO ni taasisi mbili tofauti steveachi
Wapendwa wanaJF,
Salamu.
Nimeitwa kwenye usaili COASCO wa Assistant Auditor. Ila kwa sasa ninafanya kazi sekta binafsi. Si ifahamu vizuri COASCO. Wakati naomba kazi nilikuwa sina kazi na ilikuwa mwezi wa tatu. So, kwa mdau yoyote anayefahamu COASCO ikiwemo malipo yao, naomba anijuze. Utakua umenisaidia kufanya maamuzi sahihi aidha kuondoka huku niliko au kubaki na kupunguza ushindani kwa wasailiwa wengine.
Ni hayo tu wanabodi.
Nawasilisha.