Njia unayopitia kutoka morogoro mjini je!?Vijiji vya siku hiz avina shida kwakua vingi vinauduma nyingi za kijamii....
Moro rural sijui kama pale makao makuu wamejenga hospital ila hosputal ilikua Duthumi....
Mvuha na Duthumi mazingira ni mazuri kwa biashara na kilimo pia..usafiri,umeme wa uhakika.
Aisee! Viwanja vyake vitakuwa Kisaki, Dutumi, Mngazi, Kangazi nk.Ipo Mvuha,usafiri kwa njia ya treni zaTazara unafika,na hata kwa barabara haswa hiki kiangazi ni uhakika,ni pazuri,maisha rahisi,biashara ya kilimo haswa mpunga na mbogamboga na matunda ndo penye
Ipo Mvuha, unashuka morogoro msamvu stand anapanda gari za kwenda kisaki anashukia mvuha.. nauli toka msamvu stand mpaka mvuha ni shilingi elfu 7.Habari za humu wakuu? Hivi kuna mtu anayeifahamu hospitali ya wilaya ya Morogoro Vijijini na mazingira yake Kwa ujumla? Kuna mdogo wangu kapangiwa kituo cha kazi huko .
Napenda kujua jiografia yake Kwa ujumla pamoja na wilaya ilipo. Pamoja na changamoto zake Kwa ujumla.
aende kwanza. hizo changamoto atazijua huko hukoHabari za humu wakuu? Hivi kuna mtu anayeifahamu hospitali ya wilaya ya Morogoro Vijijini na mazingira yake Kwa ujumla? Kuna mdogo wangu kapangiwa kituo cha kazi huko .
Napenda kujua jiografia yake Kwa ujumla pamoja na wilaya ilipo. Pamoja na changamoto zake Kwa ujumla.