Anayeifahamu kwa kina kuhusu BMW X5 2008 plus naomba ushauri

Anayeifahamu kwa kina kuhusu BMW X5 2008 plus naomba ushauri

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Anayeifahamu kwa kina (consultant) wa hiyo gari kabla sijachukua. Nimedhamiria ya 2010, 7seats na nalipia next week. Nahitaj mshaur mtaalam na mzoef na ikibid nimwone kama yu Dar.

Pia naomba mwenye ulinganifu bora wa kiuchaguzi kama si x5 2008 had 2014, strictly eurocars!

Naomba kujua tofaut ya ubora kwa diesel na petrol.

Anayejua showroom nzur hapo dar ya kufanya wide range choice anisaidie.
 
Chukua ya kuanzia 2010.

Unapochukua chukua angalau ya kilometers 60000 ikifika laki achana nayo.

Isiwe ya kutokea Singapore iwe ya jJpani.

Hakuna gari baya wabaya wamiliki utakapokuwa nayo zingatia service pamoja na kuendesha kwa nidhamu
 
Gari imara ukipata ya diesel manual itapendeza zaidi

Bmw Umeme mwingi zingatia service
 
Chukua chuma hicho, ila uwe na kidude pembeni cha kupigia misele town, Mim Nina kasuzuki Jimmy Ka kuendea safari na Tiguan ya kumwaga Moto highway, Achana na vitoyota ni umasikin
 
Back
Top Bottom