Anayeifahamu vizuri Toyota Starlet anisaidie

Anayeifahamu vizuri Toyota Starlet anisaidie

markadison

New Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Mwenye uelewa zaidi wa Starlet (Carat model 1999, 4E-FE engine) naomba anijuze uimara na upatikanaji wa spares nisije kupoteza pesa zangu.
 
Mwenye uelewa zaidi wa Starlet (Carat model 1999, 4E-FE engine) naomba anijuze uimara na upatikanaji wa spares nisije kupoteza pesa zangu

Mkuu chukua hiyo gari, kama mashine ipo vizuri chukua kazeeke nayo na hautojutia nafsi yko. Ukihitaji more details njoo PM


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu chukua hyo gar, kma mashine ipo vzr chukua kazeeke nayo na hautojutia nafsi yko. Ukihitaj more details njoo PM


Sent from my iPhone using JamiiForums
spare zinapatikana? sio unatafuta kifaa unaambiwa uagize japan kwanza
 
Back
Top Bottom