Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Wakuu, kila mtu apambane na hali yake ,
Kuna hivi. Viwanja wanatangaza clouds FM kwenye mji wameuita clouds city,
SQM 1 wanauza 8,000/-
Ina maana kiwanja cha sqm 800 ni 6.4M,
Viwanja hivi vipo sehemu inaitwa tundwi Songani, wanakupa ofa ya kulipa kwa miezi 33,
Sasa shida yangu kuja kwenu ni moja, je bei hii ni nzuri kweli? Ukizingatia kiwanja wanadai kipo KM 39 kutoka ferry, (Sijui ka ni kweli)
Pia nahofu isije kuwa tunapigwa bei kubwa sana