Lis
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 471
- 347
Bila Shaka mu wazima, naomba kuuliza anayeifahamu keto made by China, aniambie, inapopatikana tafadhali.
Ni cream kwa ajili ya uso, huondoa dead skin na kukupa ngozi lain nyororo, haichubui.
Tafadhali anayeijua inapatikana wapi anijuze. Najaribu kuweka picha nashindwa, naomba anayefamu jinsi ya kuweka picha anijuze.