Grand Master Dulla
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 411
- 148
Jamani samahanini wadau naomba kuuliza kwa wale wakali wa QADIRIYA kuna yeyote anayeijua kwa ufasaha historia ya SAYYID OTHMAN BIN MUHAMMAD NUR wa Tunduni Mchangani Zanzibar?
Kama yupo tafadhali naomba atujuze maana nimeitafuta kila sehemu lakini sijaipata wala hakuna vitabu vinavyomuelezea wakati ni mtu mkubwa mno na hata kama anazo picha zake atusaidie pia atujurishe alifariki lini na alizaliwa wapi na lini kama ana info hizo tafadhali.