Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Habari wanajukwaa, mdogo wangu amepangiwa miono secondari napenda kujua habari ya shule hiii kwa undani, na maelezo ya kufika huko kwa kupitia huku bagamoyo. Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa ipo karibu na Saadani national park na kule kuna mazingira magumu
Nipigie napajua xana 0759063942 '0712336687
nenda ubungo maji pale au karibu na tanesco kuna gari zinaenda moja kwa moja miono, mazingira ni mazuri, njia ya uhakika pia....