Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Itakuwa ipo karibu na Saadani national park na kule kuna mazingira magumu
Nipigie napajua xana 0759063942 '0712336687
nenda ubungo maji pale au karibu na tanesco kuna gari zinaenda moja kwa moja miono, mazingira ni mazuri, njia ya uhakika pia....