Kuna Lihed Master linano itwa mr.kahema.
daaaaah peaceful sana.
* lakini kumbuka mwaka jana mwanafunz alidanja kwasababu ya miundombinu mibovu ya vyoo.
***( inshortly)****
daaa ilikua ndo form six wa PCM wamebakiza mtihan mmoja.
mchiz kapiga pindi la kutosha, majira ya saa 10/11 arfajiri mchiz kaamka kufanya worm up, ili aingie kwenye paper akiwa fresh, baada ya hapo si akaenda toilet.
kama kawa mazoea yana tabu, umeme ulikua hauja washwa toiletini daaaah mkaka akaingia, kumbe wazibua vyoo wali kua wanefungua bampers kwenye vyoo sasa wakawa wame acha hivyo hivyo hawa kufunika baada ya kumaliza kuzibua.
----mkaka akaingia akijua nikawaida2 ka sikuzote kumbe bamper haipo bas kuingia ndo ikawa kuzama sawa na m2 anae ji2pia shimoni. daaaaah ndo ikawa R.I.P.
duuuuuh Inasikitisha Sana.
Ilifanya wnafunzi wa rise emotion. hali walishakua wame lalamika kuhusu tatizo hilo Kabla Halijatokea.
mgomo Ulikua Umesha Fanyika.
na Waka Be Suspended Nakurudi Shule Ilikua Uje Na Laki Moja. Daaa Majanga.
R.I.P NIGAR.