Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

mhii
 
Kaka mna onaje familia ya ma jobless pro max, tupange trip 2-3 kuanzia mwezi wa 11 au 12
kauli ya rais ni agizo siyo ombi tena, muda tu napendekeza kama itakupendeza rais wangu tuanze mwezi wa 11. mwezi wa 12 mambo yanakuwa mengi kidogo. i humbly submit πŸ™πŸ™πŸ™
 
🀣🀣🀣
MAPDF kitu gani? Unaangalia unayefanya naye midinyano ana akili ya kiume au ya kitoto? Nitaomba mwezi October nikutafute popote ulipo
Niliona yakishushwa huko, nikashukuru kwa kutothubutu kuunganisha vikojoleo na wanaume wa humu.
Sawa, October si mbali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…