Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #221
Kwani nyie huwa mnafanyaga ngono na marafiki zenu?BILA NGONO HAPANA HAIJAKAMILIKA URAFIKI GANI UTAKUTA Binti wa zamani mzuri kama nini kakamilika kila idara
Wewe ruka ruka tu ila nakuona nikikuoa kimasiharaNimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Alikua mzuri sana, angenisumbua π !πΉπΉπΉ Pole kiongozi
Binti wa zamani mbona ulimkataa Dany mkaka mzuri kabisa mahi?
Sa mlitongozana kwa id ipi? πΉπ€£Alikua mzuri sana, angenisumbua π !
Kweli comprehension ni tatizo π€¦ββοΈ!Unaongelea urafiki lakini pesa mbele halafu hutaki kuulizwa kuhusu mahusiano. Means unataka marafiki wa kiume wenye hela, inshort unatafuta buzi ulichune. Hakuna open minded wala cha exposure.
Ulitakiwa useme Tako sio kalio.TAKO TAKO sio matako, kama lipo nakuja , nina open mind yani na napenda adrenaline activities kama wewe
Yeah buda niadjeeMchizi boti?!
Mahi nilikua na ID yangu hiyo, kwa sasa nimeitupilia mbali ππSa mlitongozana kwa id ipi? πΉπ€£
Kasema zamani kanishtua ujue mahi
Hapana hivyo havifai!Vijamaa ambavyo vipo arosto ambavyo vinaonja 2,3 vinafaa?π(Msela anatest zali)
Life status yako ipoje,yani umeolewa,unaishi na mume au la!,childs you have!, what types of deep friendship do you wishes and so....!/ Mimi naishi Napoli.
Punguza kamdomo, sijasema natafuta mwanaume, hebu rudia kusoma tena.Mwishoni mwa miaka 1980s ndo miaka mingapi sema una miaka 40 na unatafuta mwanaume wa miaka 50 that's simple
Unazunguka Mbuyu
JF imekuwa Kama ligi kuu ya urabuni MTU akichoka kutembeza papuchi anakuja kucheki JF wa kumtunza uzeeni
Hapana urafiki hautakufa, tuta-form strong bond, MIDINYANO ikiwa ndio catalyst ya ushikaji wetuDaaah, na yale mavituz yako, tukiunganisha vikojoleo si tutaharibu urafiki kabla haujaanza π π
πΉπΉπΉ Kwahiyo daby kakushtukia mapema km ni wewe??Mahi nilikua na ID yangu hiyo, kwa sasa nimeitupilia mbali ππ
Ila nilipita kule kwenye maPDF nikashukuru sijajiona πππ
Umejionea lakin mamySon π
We mtoto utanikosesha marafiki na hekaheka zako, ngoja nakupigia unisimulie imekuwaje tena!
Hilo haliwezekani, mie ni mzee wa kimya kimya, zaidi ya ngwair na mwenzie jay moMidinyano naogopa kutengenezewa maPDF humu πππ
Jitambulishe, usiogope, hakuna mtego!Huu mteego aliwekewa Nasoro Katuga na akanasa, ngoja tuone wanaoenda kunasa huko PM mimi nimeshtuka mapema sana
Sawa, nitafanya hivyoUrafiki ni Kitu chema!
check me
Sasa unataka uwe the only friend πHaya mambo haya!
Sisi waafrica tunazeeka vibaya miaka 40 bado una brag about kuogelea , sijui n.k ahaaa umri huo Beyonce she is richest woman na mama wa 3 kidsNimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
π πTwende nairobi mrembo bill yote juu yangu