Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Dah yaani humu ndani unaweza Kuta mtu ana kitu Cha maana akatoka mtupu... Lakini sio Kila kitu ni Kwa ajili ya Kila mtu nimtie moyo mtoa mada katika wengi watakao kuja kuna wachache watakua sahihi katika chaguo lako
 
😹😹😹 Kwahiyo daby kakushtukia mapema km ni wewe??
Kwahiyo nawe una pdf lako la mauaji humu ndani? 😹
Hajanishtukia wala nini, anarusha jiwe gizani tu πŸ˜‚

ID ilikua active 2014 - 2020, acha iendelee kurest in peace.

Ila sina PDF lolote la hovyo, waliotajwa wenye matukio sikuwepo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wewe ni mkorofi lakini
 
Sisi waafrica tunazeeka vibaya miaka 40 bado una brag about kuogelea , sijui n.k ahaaa umri huo Beyonce she is richest woman na mama wa 3 kids
Huna exposure ndiyo mana mtu akisema anapenda kuogelea wewe unaona ni "bragging"

Nyuzi nyingine muwe mnapita tu, si lazima kucomment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…