Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

interest( and experience) in business? Ukiachana na urafiki,vipi malengo ya maendeleo ya pamoja? Business and investment partnership in particular?
 
Swali la msingi kabisa umekataa lisiulizwe, status yako ya mahusiano kujulikana ni muhimu. Otherwise toa hiko kipengele umeoa/umeolewa kwenye taarifa
 
Dah yaani humu ndani unaweza Kuta mtu ana kitu Cha maana akatoka mtupu... Lakini sio Kila kitu ni Kwa ajili ya Kila mtu nimtie moyo mtoa mada katika wengi watakao kuja kuna wachache watakua sahihi katika chaguo lako
Asante sana mkuu, I appreciate this πŸ™
 
Kwanini miaka 50 ndo mwisho. Sogeza sogeza mpaka 65/70 ndo kuna uhitaji mkubwa wa company. Halafu tuambie tu kuhusu status yako ili tuheshimu mipaka unapokuwa faragha, otherwise usishangae saa nane usiku unatumiwa tiketi kuwa msafiri na upo na mumeo/mpenzi.
 
Oya mshangazi! Avatar yako inaakisi muonekano wako?
 
Oya mshangazi! Niko vacation nje kidogo ya mji wa Arusha, unaweza kujoin tuchili?
 
interest( and experience) in business? Ukiachana na urafiki,vipi malengo ya maendeleo ya pamoja? Business and investment partnership in particular?
Swali zuri, malengo ya pamoja na ushirikiano vinawezekana.
Muhimu ni kutengeneza foundation nzuri ya urafiki yenye uaminifu na maelewano.
Pia, kuwa na mawazo yanayoendana kibiashara na kiuwekezaji.

Happy to find a friend ambaye tunaweza kushare mambo haya ya kimaendeleo.
 
Kama ni wa kiume mtaishia kuchapana tu, hakuna urafiki wa me na ke!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…