Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #281
Sitaki hilo swali liwe ni kielelezo cha kwanza cha urafiki mpya.Swali la msingi kabisa umekataa lisiulizwe, status yako ya mahusiano kujulikana ni muhimu. Otherwise toa hiko kipengele umeoa/umeolewa kwenye taarifa
Ina maana hujawahi kukosa usingizi na kula kwaajili yangu?Yay π, that saved us both some time.
We unajuaNimefanya nini tena π
View attachment 3446006
Sawa nimesogeza na kuedit uzi.Kwanini miaka 50 ndo mwisho. Sogeza sogeza mpaka 65/70 ndo kuna uhitaji mkubwa wa company.
Ukishakua rafiki yangu, status yangu utaijua tu. Ila kwa sasa ili kufilter dhamira tofauti tofauti, nimeamua kutoiweka wazi.Halafu tuambie tu kuhusu status yako ili tuheshimu mipaka unapokuwa faragha, otherwise usishangae saa nane usiku unatumiwa tiketi kuwa msafiri na upo na mumeo/mpenzi.
Hapa sawa. Umeeleweka na Nimekuelewa.Sawa nimesogeza na kuedit uzi.
Ukishakua rafiki yangu, status yangu utaijua tu. Ila kwa sasa ili kufilter dhamira tofauti tofauti, nimeamua kutoiweka wazi.
Yule wakili wa serikali au mwingine?Naitwa Nasoro Katuga search Google
Hapana, hii ni figure ambayo na mimi ninapenda kuiangaliaOya mshangazi! Avatar yako inaakisi muonekano wako?
Kwa sasa siwezi, labda next time uniambie mapema.Oya mshangazi! Niko vacation nje kidogo ya mji wa Arusha, unaweza kujoin tuchili?
Inabidi uzisahau kwanza series za simulizi za "utamu wa tunda la kati" kabla hatukua marafiki π πNi 'friendship with benefits'? Utanionjesha? Maana haiwezekani nazijua story zako za mizagamuo humu nikuone halafu mwana abaki kalala.
Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
- Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
- Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Aaanha kinda tena π πToa neno " mzee mwenzangu" kwenye matamshi yako. Wewe ni kinda sana, nyama laini badoπ€£
Ndiyo, intro ni hapa hapaPa kusemea ni wapi or hapahapa commentini?.
Nafikiri alitaka kujua kama wewe makalio yako ni small size, medium size au large sizeUnamaanisha kalio kubwa la kutetema au tako gani?
Asante sana πkaribu Meru forest run 31st Aug
Hutaki uwe potential replacement π€£π€£Kapicha tena π π π
Si kweli, mimi nina rafiki mmoja wa kiume mwaka wa 9 huu, hajawahi kunitongoza wala kunivunjia heshima kwa namna yoyote ila.Kama ni wa kiume mtaishia kuchapana tu, hakuna urafiki wa me na ke!!
Napenda sana hiyo adventure; run+ hiking.... Kama utakuwepo, nijulishe....Asante sana π
Jaribu na hawa wa jf ulete ushuhuda mkuuπ€£π€£π€£Si kweli, mimi nina rafiki mmoja wa kiume mwaka wa 9 huu, hajawahi kunitongoza wala kunivunjia heshima kwa namna yoyote ila.
So hii dhana huwa siiamini sana!