πππ Nina urafiki na Mama umenizidi miaka 20 yaani huwa nauambiaga hiviUmri ni negotiable ikiwa vigezo vingine vimetimia na tutaweza kuelewana.
Moja ya marafiki zangu wa karibu ni mmama ana miaka 72, so si kitu cha ajabu sana.
Aisee kukunjwa kama kambale tena mbona nyie hayo mateso na sio starehe tenaNa kule kukunjwa kama kambale basi mwili hutengeneza adrenaline na endorphin
Asante β β β nitakuPMOkay kwa ufupi 30+, najitambua, happily married, certified traveller, professional driver, malengo makubwa, nadhani inatosha.
Awwww wacha weeeeeh π€£Na kule kukunjwa kama kambale basi mwili hutengeneza adrenaline na endorphin
Kuna nyuzi nyingine wanawatafuta nyie wa early 20's, hebu peruzi peruzi utazionaSisi wa 24 tuende wapi sasa
Daah π π , hebu fanya kama tumebreakup kwenye hiyo imaginary relationship tuliyokua nayo kichwani kwako.Ina maana hujawahi kukosa usingizi na kula kwaajili yangu?
We unajua
Mimi ni mtoto katika familia ya kitajiri.Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
- Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
- Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Umenipa moyo kumbe bado nimo nimo sioUmri ni negotiable ikiwa vigezo vingine vimetimia na tutaweza kuelewana.
Moja ya marafiki zangu wa karibu ni mmama ana miaka 72, so si kitu cha ajabu sana.
Aaanha, basi swali la hovyo sana hili kwenye uzi wa marafikiNafikiri alitaka kujua kama wewe makalio yako ni small size, medium size au large size
Asante sana πSawa, karibu.
Sasa si ndo ilivyoππAwwww wacha weeeeeh π€£
Hapana, nataka platonic friendship peke yake πHutaki uwe potential replacement π€£π€£
Umeniacha Solemba sana πππSasa si ndo ilivyoππ
Sawa, nitafanya hivyo π―Napenda sana hiyo adventure; run+ hiking.... Kama utakuwepo, nijulishe....
My badπ€£π€£π€£Umeniacha Solemba sana πππ
Mbona hili limekaa kama onyo hivi? πJaribu na hawa wa jf ulete ushuhuda mkuuπ€£π€£π€£
You are wise and indeed open-minded!Hongera sana.Swali zuri, malengo ya pamoja na ushirikiano vinawezekana.
Muhimu ni kutengeneza foundation nzuri ya urafiki yenye uaminifu na maelewano.
Pia, kuwa na mawazo yanayoendana kibiashara na kiuwekezaji.
Happy to find a friend ambaye tunaweza kushare mambo haya ya kimaendeleo.
Na ndio urafiki unaodumu na kudumu na kudumuHapana, nataka platinic friendship peke yake π