Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #321
Daah nimecheka sana π hebu clarify vizuri hizo hobbies zako.Mimi ni mtoto katika familia ya kitajiri.
Nina LC 300 na BMW X6
Nina watoto but still in liquid form
Nimezaliwa kwenye late of 80's
Hobbies: Ball bed, cuddling, driving, basketball
Ndo naona hii tag sasahivi mkuu, kumradhi kwa kuchelewa kuitikia wito Mr President.Hahaha, let's pre book it. Kisha tuta ijadili. Utalii muhimu.
familia mna onaje hili mwezi wa 12? kina Razorblade, Selikavu, dosho12, Edo kissy, Smooth Criminal, BLACKTIGER
Inapendeza sana ππππ Nina urafiki na Mama umenizidi miaka 20 yaani huwa nauambiaga hivi
You treat me like u your Son and Your friend π
Basi hapo ni vicheko na mahug kama yote π
Bado umo kabisa, jitambulishe basi nikufahamu.Umenipa moyo kumbe bado nimo nimo sio
Asante sana πYou are wise and indeed open-minded!Hongera sana.
Naamini kuwa na malengo ya pamoja kunaongeza wigo wa kuinteract. Theres time for small talk and time for real talk that moves the needle. Good luck dear.
Kabisa π―, urafiki hauwezi kujengwa na matarjio au matamanio ya kimapenzi.Na ndio urafiki unaodumu na kudumu na kudumu
Heshima
Kuaminiana
Kushirikiana mawazo, ndoto na changamoto za maisha
Bila kuwa na matarajio ya kimapenzi
πππ Sikuwa nimepanga kucomment lakini baada ya hii post nimejikuta na comment dahh wabongo bhana
πHamna mwanamke hapo , kazi umalaya tu .. Exposure za nyoko ,nyodo kibao ...Katafute wazungu wenzio.
πππNdugu Isaya umefata nini tena huku unataka kutuharibia
π€£π€£Unatafuta mtu wakubadilishana nae mawazo!!
Umechoka kuwaza mawazo yako mpaka unatafuta mtu ili mbadilishane mawazo?
Vipi kwa mtu ambae anaishi kwa furaha na hana hayo mawazo,nafasi ipo?
Uchokozi π€£Tangazo limeeleweka (In waungwana voice) πΉπΉπΉ
ππUsed? Alafu masharti kama New..!!
π€£Wa huko siwawezi
View attachment 3445626
Mbavu zangu Kmmk πππVile Sina vigezo kwa mshangazi,View attachment 3445627
Mtu akiniomba tu na urafiki unakua umevunjika.Utaombwa TU!jiandae!
leo dada naomba nikufikie nikishamfikia Binti wa zamani πππ