Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Binti wa zamani Ok vigezo vyote nafit, the issue ni age nipo chini ya 30 let negotiate.
kuhusu safari apa ndo nyumbani ila puprose yangu ya kusafri mara nyingi uwa ni cuisine tourism na kufika maeneo mapya kwangu ili kuwa kuyajua zaid. nje ya nchi bado sijafanikiwa kufika ila one day yes.....πŸ˜€πŸ˜€
 
Age 39, carrier psychologist, runner all over the suddenly but on orientation, some how may run necessarily life consumptions ila nipo Dar saana mara chache Mtwala na Mbeya ua welcome πŸ™
Asante rafiki πŸ™
 
bila shaka huwa pia unafanya adventure activities, if yes, unaeza sema angalau mojawapo uliyowahi ifanya na location tafadhali ili isije baadae naandaa safari twenzwetu BONDWA PEAK uluguru mountain pale morogoro ikawa ni mambo za kuvutana njiani na kubembelezana. hahahaha nature is beuty
 
.umri :26
.Muajiriwa sekta binafsi
.naishi musoma,mara(kikazi),mwanza pia
.hobbies zangu ni muziki, kuogelea,tourism,kula,partying.

nahisi mambo yatakuwa safisafi.
Asante sana kwa kushare πŸ™ 😍
 
Sawa hilo la age nitaliangalia tena!
Napenda hizo safari za kwenda kula πŸ˜… πŸ˜‚
 
nimekuuliza adventure/sports or activies yoyote uliyoifanya na location yake but kimya?
 
Nimeenda Uluguru mara ya kwanza 2007, na huwa napenda kwenda huko kupumzika.
Adventure nyingine nimefanya ni hot air baloon, Serengeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…