Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Ni amri, tangazo, interview ama ni nini?Ukimpata mwenye hivyo vyote offer yako ni nini, maana naona kuna nafasi ya kazi kabisa hapo...
Request ya kuconnect kwa ajili ya urafiki.
Ni kweli umesoma hujaelewa?

Kuhusu mimi pia nimejielezea, wewe kama unatafuta a new friend basi jitambulishe.
Kama hutafuti, basi huu uzi achana nao mkuu!
 
Muumbe wa kwakoπŸ˜‚
 
Request imepokelewa kwa dhati.
Nafasi moja ya upendeleo nimekuachia, pambana utimize malengo yako πŸ™Œ
 
Sorry, kwa nn unajiuza kwa kificho wakati wenzio wanajiuza waziwazi WhatsApp, telegram na dating sites?
 
Karibu,just to exhange ideas,nipo na 46 pia watoto , napenda kutembea na kusoma vitabu hasa Biblia,no pombe ,no sigara, 0758 308494
 
Sorry, kwa nn unajiuza kwa kificho wakati wenzio wanajiuza waziwazi WhatsApp, telegram na dating sites?
Kwa sababu huko kwingine wauzaji kama nyie hasa ambao hamna marinda, mmeshapajaza 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…