antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Basi bhana, huwa nikiona hiyo I'd yako, hasa neno zamani ninadhani labda namba inasoma early to mid 50's huko, kumbe bado ni kitu eatable kabisa πMwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
gracias tooNimeupenda, asante sana π
hahaha shukran mkuu. Wacha tujifunje kitu hapaWatu wamejaa tyr ila kwa heshima yako nakupisha kwenye sit
Hahaha,We mtoto hebu nitake radhi kwanza π
Kwahiyo hao wa 50's vitu vyao siyo eatable au?
Utambulisho si ndo inbox.njoo hutajutiaBila kautambulisho hata kidogo?
Njoo DMNimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
- Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
- Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Wewe unajua kuzipika vizuri hizi ndizi au?Kama ni mpenzi wa NDIZI za kupika (sio ndizi za kukaanga) nicheki labda tunaweza kufaana. Nasisitiza tena NDIZI za kupiga sio ugali sijui chipsi kavu...
Asante sana mdogo wangu / mwanangu π!Kwa uzoefu wangu wa kukutana na kujenga urafiki na watu hapa Jamii forums tangu mwaka 2012, naweza kusema kwa uhakika kabisa.
Sifa ya kwanza ya mtu bora kabisa anayefaa kuwa rafiki, angalia namna anavyoandika.
Anaandika kwa utulivu na kwa mtiririko unaoeleweka.
Kwa uandishi huu na mtiririko huu wa mwandishi ni wazi kuwa anaweza kuwa rafiki bora kabisa.
Kila la kheri dada/mama.
Kuna candidates wawili watatu hivi, ila watu wenye upwiru walinitoa sana mood kwenye huu uzi π πHv bado hajapatkana?
Binti wa zamani