Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Hahaha,
Ni eatable pia lakini wanakuwa washachoka bhana, viungo vinauma, nk.

Wee bado sana.
Afu hapa ujue siyo mtoto kabisaa.
Watoto wa alfu mbili naona tayari wanasema ni watu wazima sana, so sishangai wewe kutojiona mtoto
Nashangaa umeeka kufuli tani nzima hapo inbox pengine ukute sahii ningekuwa tayari najipakulia mwenyewe
Kufuli ni special kwa ajili yako πŸ˜… punguza kuwaza kuwala shangazi zako!
 
Watoto wa alfu mbili naona tayari wanasema ni watu wazima sana, so sishangai wewe kutojiona mtoto
Dah,
2000?!!
Madam, you are thoroughly wrong here. Wee size yangu kabisa kama umri ulotaja ni kweli..
Kufuli ni special kwa ajili yako πŸ˜… punguza kuwaza kuwala shangazi zako!
Hahaha,
Na hii ya kufuli ndo inaleta shaka kuwa waweza kuwa katoto, ingawa madini yako ya kikubwa kwa kweli. Siku ukifungua ni tag bhasi nikuume sikio chap
 
December utakua Dar au Moshi?
Kama imani yako ni R.C.
Nahisi utakua na asili ya Moshi (Rombo au Old Moshi)
Kila la kheri
 
Nilivoona adrenaline nikajua ni ugonjwa Ila ulivyoongezea activities bc nadhani itakuwa ni mazoezi ya mwili 😎
 
Chai
 
karibu Arusha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…