Si 2023 ulikuwa na 28 mahi 😹😹Hivi under 30 uwa mnatuona tuko kama vitoto vya 2000 sio?
Haya get ready kesho nakupitia tukafanye hiking Meru camp. Pumzi si iko mamdogo auntie?
Tunasubiri aweke tu bei jirani.Tangazo limeeleweka (In waungwana voice) 😹😹😹
uko wapi?
Can I Gt Ur Number ....Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Njoo tuyamalize mimi na wewe bana watu wabaguzi sana sijapendaaHivi under 30 uwa mnatuona tuko kama vitoto vya 2000 sio?
Haya get ready kesho nakupitia tukafanye hiking Meru camp. Pumzi si iko mamdogo auntie?
Vigezio viwili vitatu nakidhi naweza kuja?Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
😹😹😹 ili m-bargain au sio?Tunasubiri aweke tu bei jirani.
Jifunze kusimama kipekee sasa iliNjoo tuyamalize mimi na wewe bana watu wabaguzi sana sijapendaa
Watu wamejaa tyr ila kwa heshima yako nakupisha kwenye siti😂hahahaha seat inatosha namim nije nikae niwe shuhuda, make navojua mda wote hamwez ongea mambo siliaz
Weka pichaNimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Huyo atakuwa mzaramoAh wapare mna maneno
Kuna mpare mmoja namwambiaga bakiza na ya kesho
Huyo atakuwa mzaramo