Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #101
Mfano; unaishi kwa mikopo, humudu maisha yako, unalia lia shida, huwezi kumudu kusafiri safari nje ya mji unapoishi kwa mapumziko au unayo pesa ya kutosha matumizi yako na huna ziada kwa ajili ya kufurahia maisha!Shida ndogo ndogo zikoje wakuu π
Kwa namna ulivyoandika hapo π - NOCan I Gt Ur Number ....
π Vipi bado hujatimiza kaka Pendaelli?Vigezio viwili vitatu nakidhi naweza kuja?
Hofu yangu nafasi zitakuwa za kugombaniwa sana.
Marahaba mpwa!Shikamoo aunt
Kwani umelazimishwa, nenda kafate new, mbona ziko tele!Used? Alafu masharti kama New..!!
πππ Haihusiani kabisa!Hhhh,ko shangazi hii haihusiani na zile email zetu za kipindi kile?
NopeWeka picha
Hapana, ndiyo nini hichoUnajua kuifinyia ndani
Akisema midinyano ipo watu watauana kuwahi nafasi..!! πΉπΉπΉDah!! Rafiki wa kweli anakukumbuka kwenye mambo mazuri.
Uchawi, amesema hakuna MIDINYANO ππ€£
πΉπΉπΉ Kazi kwao wazike au wasafirishe..!!Na control namba nimepewa nililipie πππ
Roho ingeniuma sana fursa ingempita mchizi wangu πΉπΉπΉWewe ni mtu wa maana sana mwanakwetu, niletee malisafi hiyo ila izingatie vigezo tu!
Siyo shida zangu π ππΉπΉπΉ Kazi kwao wazike au wasafirishe..!!
Inasikitisha sana πHapana, haiwezi π π π
Kuruka ruka kwa maharage .............. ............ ............... πMiaka 40 unahangaika na nini mkuu ?
Sawa ndugu, endelea kupambana, nakutakia kila heri kwenye harakati zako!Nipo hapa,ila sina maisha ,pesa bado nazisaka,maisha tough nimepanga geto chumba na sebule ,watoto wakutosha,
Sasa hapo nafeli shida ndogo ndogo ninazo,japo namiliki akili ,bonge la Milankolic,sipendi koleliki wanaongea mno
Vichache sana , au kama hamna ila kibinadamu hutakiwi kujikamilishaπ Vipi bado hujatimiza kaka Pendaelli?
Sawaa, mtu wa maana kbsa wewe.πππ Haihusiani kabisa!
Unaweza kuwa nayo vizuri kabisa, ila kwa rafiki ninayemtafuta, ili tuendane inabidi asiwe nazo!Kumbe ukiwa nashida ndogondogo huwezi kuwa mawazo mazuri