Mawazo mazuri hayaji ukiwa na njaa bobKumbe ukiwa nashida ndogondogo huwezi kuwa mawazo mazuri
Midinyano naogopa kutengenezewa maPDF humu ๐๐๐Akisema midinyano ipo watu watauana kuwahi nafasi..!! ๐น๐น๐น
We mkali nenda utajua huko huko..!!
Ni kweli kabisa ๐ฏVichache sana , au kama hamna ila kibinadamu hutakiwi kujikamilisha
Nataka niombe booking kuanzia October hukoMkuu mboga laini kabisa hii, ngoja kwanza๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃMidinyano naogopa kutengenezewa maPDF humu ๐๐๐
I mean no malice to nobodyUnyamaze na kucomments sasa
Kaka mna onaje familia ya ma jobless pro max, tupange trip 2-3 kuanzia mwezi wa 11 au 12Kwenye kusafiri hapo count me in... So tell me next journey yako umepanga iwe wapi? Both ndani na nje...
So nijiandae mwezi wa ngapi?Kama zilivyopangwa ๐ง๐ทna ๐ต๐พ ni safari moja.
Hujui kusoma au? wapi nimesema natafuta mwanaume?Ukute ulipokuwa na miaka 20-25 ulikuwa hutaki wanaume kibao...
Sasa umechoka huchagui Tena wanaume
pambavu
Jifunze comprehension kwanza, ndiyo uanze kushauri wengine.Iwe funzo Kwa wanawake wengine
Ndio maana kura yangu nilikupigia halafu nikakoleza wino wa peni, ile tick ikawa ya 2D yaani nimeichora halafu nikasiriba... Hii tuifanye lini mkuu? ๐ ๐ ๐Kaka mna onaje familia ya ma jobless pro max, tupange trip 2-3 kuanzia mwezi wa 11 au 12
Kuja wapi? Niko hapa nimekosa tu sehemu ya kuja! RafikiNimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Hahaha, let's pre book it. Kisha tuta ijadili. Utalii muhimu.Ndio maana kura yangu nilikupigia halafu nikakoleza wino wa peni, ile tick ikawa ya 2D yaani nimeichora halafu nikasiriba... Hii tuifanye lini mkuu? ๐ ๐ ๐
Hao kina anonymous eti hawataki kuonana na watu wanasema๐๐๐Hahaha, let's pre book it. Kisha tuta ijadili. Utalii muhimu.
familia mna onaje hili mwezi wa 12? kina Razorblade, Selikavu, dosho12, Edo kissy, Smooth Criminal, BLACKTIGER
UKIMPATA ATAKUWA KICHA MWENZIOONimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Makunguru hao, hata huyu Half american ni muoga ka nyokaHao kina anonymous eti hawataki kuonana na watu wanasema๐๐๐
Makritiko sinka wa jf hao mkuu a.k.a wapiga spana so wanajilinda๐๐๐๐Makunguru hao, hata huyu Half american ni muoga ka nyoka
Tutaenda wapiHahaha, let's pre book it. Kisha tuta ijadili. Utalii muhimu.
familia mna onaje hili mwezi wa 12? kina Razorblade, Selikavu, dosho12, Edo kissy, Smooth Criminal, BLACKTIGER