Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Unaongelea urafiki lakini pesa mbele halafu hutaki kuulizwa kuhusu mahusiano. Means unataka marafiki wa kiume wenye hela, inshort unatafuta buzi ulichune. Hakuna open minded wala cha exposure.
 
Wewe ni mtu wa maana sana mwanakwetu, niletee malisafi hiyo ila izingatie vigezo tu!
Vijamaa ambavyo vipo arosto ambavyo vinaonja 2,3 vinafaa?😀(Msela anatest zali)
Life status yako ipoje,yani umeolewa,unaishi na mume au la!,childs you have!, what types of deep friendship do you wishes and so....!/ Mimi naishi Napoli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…