Anayejua ada ya law school of Tanganyika

Anayejua ada ya law school of Tanganyika

Ngoja mawakili wasomi waje kukupa muongozo
 
Natanguliza shukran...
.. hio 1.5m. .. ni ada na michango inakuaje wasomi
Hiyo imecover mambo yote Mkuu ila sio 1.5 kamili ina vichenchi chenchi inafika around Milion 1 laki 5 elfu 60 ingia webdite ya chuo utaona kila kitu Mkuu.

Kila la kheri Mkuu.
 
Vigezo vya kupata mkopo toka loan board ni vipi ukiwa law school
 
Back
Top Bottom