Anayejua aina nzuri ya perfume

Hayaat, Barakkat na Zara. Ninazo bei chee nakupa, ujazo wa kutosha na unanukia balaa.
 
Pisi kali zinukie na nyie mnukie kweli mwanaume ikibidi hata makalio yako yasiguse mafuta mpaka siku unadanji
 
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.

Jinsia yangu ni mme

Ahsanteni
Naona unatafuta body spray.
Perfume za 15k ni za kupima hizo za watoto wa shule mkuu.
Perfume nzuri kiasi inaanzia 50k kwenda juu
 
Acha uongo
Duh ayah, me ni muuzaji tu na hiyo nyekundu natumia na ni nzuri, na mimi na mwanamke, nmetoa tu comment kuendana na trend ya wateja. Nisamehe kama kuna sehemu unaona nmedanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…