Anayejua aina nzuri ya perfume

Hapo umetaja brands..taja aina ya perfume/cologne

mfano dior sauvage..maana zipo collection nyingi nyingi kwenye brand moja..

So njia uliotumia kurecommend hizo bidhaa sio sahii au sio nzuri
 
Perfume na body spray yake kwa 17k tu mzigo upo mikononi harufu yake ni nzuri haikeri
Ngoja nijipulizie nikajaribu kumtongoza mtoto mzuri emmy nitareta mrejesho!! πŸ˜‚πŸ˜ƒView attachment 1706251View attachment 1706252

Wapi naipata hiset??
 
Mie nikisikia harufu ya perfume yeyote, nachefukwa na vinginevyo kutapika kabisaa. Aaaah
 
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo
Jinsia yangu ni mme

Ahsanteni
Hiyo mi nilinunua Zanzibar kwa 20,000 ila ni nzuri mno haikeri na imepoa hivi ila inakaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…