Anayejua aina nzuri ya perfume

Habari, nimeulizia hiyo dark fever nimeambiwa ni 20,000/=

Kwa hiyo bei ya 12,000 wanauza wapi mkuu
Haya madude yana classes 3. Ukitaka vitu vya kueleweka nunua maduka makubwa ya Wahindi au Super markets za kishua. Ukienda kwa Mangi, Muha au Mkinga lazima upigwe na kitu class 3 au 2
 
List mjarabuu kabisa......weka mbali na warembo
 
Haya madude yana classes 3. Ukitaka vitu vya kueleweka nunua maduka makubwa ya Wahindi au Super markets za kishua. Ukienda kwa Mangi, Muha au Mkinga lazima upigwe na kitu class 3 au 2
Ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…