Ila kasoro mzee Mtei yeye hazeeki na kila siku ushauri wake unazidi kuwa mzuri sio?Navyojua kadri mwanadamu anavyozidi kuzeeka ndio akili yake inarudi kuwa kama ya mtoto, hivyo simshangai huyo babu.
Mbona tena unabwabwaja, kujua kwingi kumbe huna kitu kichwani.Kama ana matatizo basi ni ya kawaida tu kama binadamu wengine, lakini for sure hana tatizo super kama la kwako.
Kweli kabisa kwa sababu hata kelele zilizoko mitaani sasa hivi ni kwa sababu wananchi wanajutia kutokuwepo kwake.Wenye akili kubwa km yeye wamemwelewa
Kawaida yenu Chadema na kauli kama hizi kwa opponents wenu.Huyu Mzee, ni tumbo tu linalomsumbua.
Baada ya kuona kuwa ametupwa nje ya ubalozi........
Anatafuta njia za kuonekana na wanaccm, Ili apewe "ulaji" mwingine[emoji16]
Hawa wafuasi wa Mbowe wengi ni watafuta shot cuts siasa sio sehemu yao.Kumwelewa dr. Slaa lazima uwe na akili kubwa zaidi ya hapo utabaki na vijembe
Kama mleta hoja pia!Anasaka Tonge.