Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi huo watu wananunua ndege na ,magari bei ziko website zao sembuse hayo ma seat cover looo sipigiBinafsi sijui, ila vipi kwenye website yao hamna namba za simu ?
Wako vuzuri, mimi niliwapigia simu kwa namba wanayoonyesha kwenye TV na walinipa maelekezo kulingana na gari yangu na gharama pia walinitajia, wapigie kwa namba zao zinazoonekana kwenye tangazo la Tv.Anayejua Azam Upholstery wanachaji bei gani seat covers za gari kushona aweke humu website yao iko empty haionyeshi bei za hizo products zao wanatangaza kwenye Tv hamna bei kwenye TV na website zao hamna bei
Haina shida waweke tu bei na maelezo ya package kuwa hii bei hii ingine bei hi na inahusu nini mteja aamuu kwa mfuko wake kipi achukue hata hoteli vyumba bei hutofautiana ,magari pia ndege piaOkay nilienda kuwacheki.
Iko hivi, kama walivyo Safari, hawana bei fixed, bei zina tofautiana kutokana na vitu vingi:
•Kitambaa na material utakayochagua.
•Gari yako size gani/seat ngapi.
•Package utakayochagua ie: unasona seat tu, roofline, dashboard, milango, buti, nk.
•nk
Kwahiyo kusema tu bei uwongo bila kwenda wafanye assessment wakupe quotation ukajipange.
Landcruiser ipi mkuuLanscruiser rangi Tsh 6.6 Million, viti vya ndani Tsh 1.8 Million
Amazon ya 2005 modelLandcruiser ipi mkuu
Ila pale Mbezi Africana mitaa ya nyuma ya NMB kuna watu wanaweza kufanya kazi hìyo hiyo kwa Tsh 1,000,000 au chini zaidiAnayejua Azam Upholstery wanachaji bei gani seat covers za gari kushona aweke humu website yao iko empty haionyeshi bei za hizo products zao wanatangaza kwenye Tv hamna bei kwenye TV na website zao hamna bei
Kila mtu ana namna yake ya kufanya biashara, usilazimishe wafananeHaina shida waweke tu bei na maelezo ya package kuwa hii bei hii ingine bei hi na inahusu nini mteja aamuu kwa mfuko wake kipi achukue hata hoteli vyumba bei hutofautiana ,magari pia ndege pia
Sidhani kama ni sahihi kusumbua mteja hadi apige simu kwenye ulimwengu huu wa digital kwa businessman ni kutomtendea haki mteja
Website inatakiwa kuwa loaded na information zote sio zinakuwa siri kama uchawi hadi mtu apige simu muongee kibinafsi kama mko chumbani
Narudia sipigi simu bei ziwe open kipil bei gani
Jaribu na kuwacheki hawa hapa chini, hutajuta:-Anayejua Azam Upholstery wanachaji bei gani seat covers za gari kushona aweke humu website yao iko empty haionyeshi bei za hizo products zao wanatangaza kwenye Tv hamna bei kwenye TV na website zao hamna bei
Wana Bei kinoma🤔Amazon ya 2005 model
We una gubu sana.Haina shida waweke tu bei na maelezo ya package kuwa hii bei hii ingine bei hi na inahusu nini mteja aamuu kwa mfuko wake kipi achukue hata hoteli vyumba bei hutofautiana ,magari pia ndege pia
Sidhani kama ni sahihi kusumbua mteja hadi apige simu kwenye ulimwengu huu wa digital kwa businessman ni kutomtendea haki mteja
Website inatakiwa kuwa loaded na information zote sio zinakuwa siri kama uchawi hadi mtu apige simu muongee kibinafsi kama mko chumbani
Narudia sipigi simu bei ziwe open kipil bei gani