Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani umenielewa vibaya. Siyo nguzo za umeme za tanesco. Ni zile mtu huzungushia kiwanja chakeHuku kwetu zinatolewa bure mbona
Hizo hizo mkuuNadhani umenielewa vibaya. Siyo nguzo za umeme za tanesco. Ni zile mtu huzungushia kiwanja chake
Kwenu wapi Mtukutu wanao gawa hizo nguzo bure? Itakuwa unaishi nchi ya Asali na maziwa.hizo hizo mkuu
Tafadhali, naomba msaada wa kujua bei ya ngozo tajwa hapo juu kwa watu wanakaa sehemu za Kijichi na kuendelea mbele.
Nataka kuzinunua na cement, pamoja na kokoto kama wajua bei au unauza nisaidie nijue bei pia. Shukran
hizi naona kama ni nzuri zaidi kuliko zile za cement
Hizi nguzo..ajiandae kuzilinda wauza vyuma chakavu hawata cheza mbali nazo.