Anayejua bei za nguzo za(Seng'enge) kuzunguka plot /kiwanja sehemu za Kijichi - Kigamboni

Rwebo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
1,418
Reaction score
1,820
Tafadhali, naomba msaada wa kujua bei ya ngozo tajwa hapo juu kwa watu wanakaa sehemu za Kijichi na kuendelea mbele.

Nataka kuzinunua na cement, pamoja na kokoto kama wajua bei au unauza nisaidie nijue bei pia. Shukran
 
Niliona nguzo za plastic huko kwenye TV mtu anatengeneza nzuri.
 
Tafadhali, naomba msaada wa kujua bei ya ngozo tajwa hapo juu kwa watu wanakaa sehemu za Kijichi na kuendelea mbele.

Nataka kuzinunua na cement, pamoja na kokoto kama wajua bei au unauza nisaidie nijue bei pia. Shukran

Ukipata msaada naomba uni tag mkuu
 
Ukiwa unatoka mbagala unaenda vikindu kabla hujafika vikindu kituo cha police nyuma kidogo hapa mkono wa kushoto kuna jamaa anauza hizo nguzo za zege ndefu na nzuri bei ni kama sijasahau inacheza kwenye 16k mpaka 18k kwa nguzo moja alafu komaa uchukua zile alizo simamisha kama sample huwa niimara kuliko zile wanazo zifyatua pale chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…