M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,266 Reaction score 3,698 Mar 16, 2023 #1 Habari wakuu, Nauliza kwa mwenye uelewa wa biashara ya tairi za magari mapya magari makubwa na madogo..Aina za makapuni tairi zinazonunulika haraka na imara kwa kipato Cha kawaida na wakipato kikubwa
Habari wakuu, Nauliza kwa mwenye uelewa wa biashara ya tairi za magari mapya magari makubwa na madogo..Aina za makapuni tairi zinazonunulika haraka na imara kwa kipato Cha kawaida na wakipato kikubwa
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,266 Reaction score 3,698 Mar 16, 2023 Thread starter #2 Na size za matairi huwa zikoje naskia Kuna namba za tairi
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Mar 16, 2023 #3 All the best