Anayejua Channel au Kisimbuzi kinachoonesha ligi ya Ufaransa

Anayejua Channel au Kisimbuzi kinachoonesha ligi ya Ufaransa

Herry jr

Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
74
Reaction score
134
Naulizia kwa yeyote anaejua ni kisimbuzi gani kinaonesha ligi ya ufaransa naomba anisaidie please pamoja na details za hicho kisimbuzi including malipo yake ya bundle na gharama ya kisimbuzi plus installation charges.
 
ewq5c0yxmaa37n0.jpg
 
shida nasikia kinatumia lugha moja2 ya kifaransa
Ka wapenzi wa mpira wanakipendea kwa ajili ya soka pekee kwa sababu ya unafuu wa vifurushi vyao.

Ila kama unataka kuangalia taarifa ya habari kwenye Canal Soprt hakikisha una mkalimani kando yako.
 
Back
Top Bottom