anayejua dawa ya hii anisaidie

anayejua dawa ya hii anisaidie

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
778
Reaction score
269
ulishawahi kula kitu kchachu halafu meno yanavyokua basi mwenzenu nina shida hiyo ingawa sijala kitu kichachu mwenye kujua dawa ya hii jamani anisaidie nateseka cwezi kula jamani
 
ulishawahi kula kitu kchachu halafu meno yanavyokua basi mwenzenu nina shida hiyo ingawa sijala kitu kichachu mwenye kujua dawa ya hii jamani anisaidie nateseka cwezi kula jamani

sijakuelewa vizuri, hata kutoa msaada nashindwa, hebu fafanua kidogo
 
Mimba hiyo inakusumbua!. Subiri miezi 9.
 
ulishawahi kula kitu kchachu halafu meno yanavyokua basi mwenzenu nina shida hiyo ingawa sijala kitu kichachu mwenye kujua dawa ya hii jamani anisaidie nateseka cwezi kula jamani

Inabidi usubiri mgomo wa madaktari uishe halafu uwaulize.
 
maneno yanakua na hali kama nimekula kitu kichachu wakati cjala kama yanakufa ganzi
 
Hiyo hali kitaalamu inaitwa "tooth sensitivity"

Nenda kwa Dentist akufanyie check up na kujua imesababishwa na nini.

Matibabu yake yanaweza kuwa normal restoration au Veenering inategemewa na sababu ya hiyo ni nini.
 
Pole sana, nenda kwa watalaam wa meno.Dalili kama hizo huwa nazihusisha na meno kuanza kupata shida hatimaye kung'olewa.Wahi kwa watalaam kwa msaada zaidi
 
Back
Top Bottom