Anayejua dawa ya sikio

Anayejua dawa ya sikio

JINOME

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
958
Reaction score
1,427
Sisikii, linauma kwa nje kama vile nimepigwa, linalia tiiiiiiiiii.
 
Nenda hospitali kapime afya yako kwa ujumla, endapo kama hautogundulika na maradhi makubwa kama vile HIV, basi tumia mafuta ya kenge yatakusaidia. POLE!
 
Hiyo kupiga kelele ni ugonjwa unaitwa Tinitus ambayo huwa inaambatana na huko kutokusikia vizuri, ila kama lina maumivu kamuone daktari inaweza kuwa ni infection ndani ya sikio...
 
Back
Top Bottom