Nenda hospitali kapime afya yako kwa ujumla, endapo kama hautogundulika na maradhi makubwa kama vile HIV, basi tumia mafuta ya kenge yatakusaidia. POLE!
Hiyo kupiga kelele ni ugonjwa unaitwa Tinitus ambayo huwa inaambatana na huko kutokusikia vizuri, ila kama lina maumivu kamuone daktari inaweza kuwa ni infection ndani ya sikio...