Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Tafuta pesa wewe acha kufuatilia historia za mume wa mtu.Jamani wanajf habari! Naomba kufahamu historia ya mwanamasumbwi LUCAS MSOMBA maana naskia amewahi kuchukua medali kutoka URUSI. Nawasilisha matusi noooooooo
Asante mkuu kwa ufafanuziMsomba asili ni Mbeya lakini alirudi nchini akitokea Zambia aliko lelewa na kujifunza ngumi,ikumbukwe Zambia kulikuwa na Watanzania wengi wahamiaji hasa kutoka mkoa wa Mbeya walioenda kufanya kazi migodini Northern Rhodesia(Zambia), huyu alikuwa kundi mmoja na akina Emmanuel Mlundwa kwenye mambo ya ndonga ni miaka mingi imepita.